Social Icons

Pages

Thursday, 28 August 2014

EXCLUSIVE: OKWI ATUA SIMBA, ASAINI SIMBA MIAKA MIWILI




Yametimia, hatimaye Emmanuel Okwi amerejea katika kikosi chake cha zamani cha Simba.
Okwi rasmi anasaini leo kujiunga na Simba baada ya kuelewana na uongozi wa klabu hiyo.
Mganda huyo amechukua uamuzi wa kusaini kuichezea Simba baada ya Yanga kumtema.
 
FULU VIWANJA