Social Icons

Pages

Sunday, 11 May 2014

AFANDE ACHOKA AMTUPIA DADA BEGANI KWENYE SERIE A





Dada mmoja alivamia uwanjani wakati Napoli ikikipiga na Sampdoria, akitaka kuwakumbatia wachezaji.

Juhudi za kumuondoa uwanjani zikafanyika, lakini yeye akaonyesha ubishi. Afande akaona isiwe tabu bana, akamtupia begani namna hii!!
 
FULU VIWANJA