Social Icons

Pages

Sunday, 23 February 2014

BALE APIGA SHUTI LENYE KASI YA KILOMITA 100.5



Shuti la Gareth Bale wakati alipofunga bao katika mechi ya La Liga, lilikuwa na kasi ya kilomita 100.5 kwa saa.


Shuti hilo alipiga wakati Real Madrid ilipoivaa Elche jana na kuibuka na ushindi wa mabao 3-0.
Bale alifunga moja ya mabao hayo matatu na alipiga shuti hilo kali nje ya 18 na kufunga.
Bale ndiye mchezaji ghali zaidi duniani kwa kipindi hiki.
 
FULU VIWANJA