Social Icons

Pages

Wednesday, 15 January 2014

CHAN 2014: WENYEJI BAFANA BAFANA, MALI NGOMA NGUMU!





WENYEJI South Africa leo wametoka Sare ya Bao 1-1 na Mali katika Mechi ya Kundi A la OrangeCHAN2014_LOGO CHAN 2014, Mashindano ya Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wanaocheza ndani ya Nchi zao, iliyochezwa leo huko Cape Town Stadium, Mjini Cape Town.
South Africa ndio waliopata Bao mwanzoni kwa Penati ya Bernard Parker kwenye Dakika ya 25 na Mali kusawazisha katika Dakika ya 54 kwa Bao la Sidibe.
Timu hizi zilishinda Mechi zao za kwanza kwa South Africa kuichapa Mozambique 3-1 na Mali kuifunga Nigeria Bao 2-1 na ndio zinakamata Nafasi mbili za juu za Kundi A huku South Africa wakiwa kilelwni.
msimamo
KUNDI A
NA
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
1
South Africa
2
1
1
0
4
2
2
4
2
Mali
2
1
1
0
3
2
1
4
3
Nigeria
2
1
0
1
5
5
0
3
4
Mozambique
2
0
0
2
3
7
-4
0
KUNDI B
NA
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
1
Uganda
1
1
0
0
2
1
1
3
2
Zimbabwe
1
0
1
0
0
0
0
1
2
Morocco
1
0
1
0
0
0
0
1
4
Burkina Faso
1
0
0
1
1
2
-1
0
KUNDI C
NA
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
1
Libya
1
1
0
0
2
0
2
3
2
Ghana
1
1
0
0
1
0
1
3
3
Congo
1
0
0
1
0
1
-1
0
4
Ethiopia
1
0
0
1
0
2
-2
0
KUNDI D
NA
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
1
Congo DR
1
1
0
0
1
0
1
3
2
Gabon
1
0
1
0
0
0
0
1
3
Burundi
1
0
1
0
0
0
0
1
4
Mauritania
1
1
0
0
0
1
-1
0

VIWANJA:
CAPE TOWN:
- Cape Town Stadium
-Athlone Stadium
MANGAUNG/ /Bloemfontein
- Free State Stadium
POLOKWANE
- New Peter Mokaba Stadium
+
Katika Mechi nyingine ya Kundi A, Nigeria waliichapa Mozambique Bao 4-2 na kujiweka hai kufuzu huku Mozambique wakiwa Timu ya kwanza kwenye Mashindano haya itolewe nje baada ya kupokea kipigo cha pili mfululizo.
Mabao kwenye Mechi hii yalifungwa na Ede, Ali Bao 2 moja Penati na Imenger kwa Nigeria na Dario Khan na Diogo kuipatia Mozambique.
Alhamisi zitakuwepo Mechi mbili za Kundi B kati ya Zimbabwe v Uganda na Burkina Faso v       Morocco zote zikichezwa Athlone Stadium, Jijini Cape Town.
 
FULU VIWANJA