Social Icons

Pages

Thursday, 30 January 2014

AC MILAN YANG'OA KIFAA KINGINE ENGLAND

KIUNGO Adel Taarabt amesaini AC Milan kwa mkopo kutoka timu ya Daraja la Kwanza England, QPR.
Kiungo huyo mshambuliaji wa kimataifa wa Morocco alikuwa akiichezea Fulham kwa makubaliano ya muda, lakini sasa ameungana na vigogo hao wa Serie A.
Furaha kuwa hapa: Adel Taarabt akiwa amepozi naskafu ya AC Milan
 
FULU VIWANJA