Kocha Andre Villa Boas ametimuliwa kazi ya kuinoa Tottengam Hotspur.
Kocha huyo raia wa Ureno ametimuliwa baada ya timu yake kupokea kipigo
cha mabao 5-0.
Timu hiyo imekuwa na mwenendo wa ovyo ikiwa chini ya kocha huyo.
Pamoja na timu hiyo kufanya usajili uliogharimu mamilioni ya fedha, lakini haikuwa kali kama wengi walivyotarajia.
