skip to main |
skip to sidebar
SAMATTA LEO KUANZISHWA LEO DHIDI YA BURUNDI
KIM
Poulsen amewaanzisha pamoja Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu katika
mchezo dhidi ya Burundi, Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati,
CECAFA Challenge unaonza mchana huu Uwanja wa Afraha, Nakuru, Kenya.
Kikosi
kamili cha Tanzania Bara ni; Ivo Mapunda, Himid Mao, Erasto Nyoni, Said
Morad, Kevin Yondan, Frank Domayo, Salum Abubakar ‘Sure Boy’, Amri
Kiemba, Thomas Ulimwengu, Mbwana Samatta na Mrisho Ngassa.
Katika
benchi kuna Deo Boniventura ‘Dida’, Athumani Iddi ‘Chuji’, Michael
Aidan, Haroun Chanongo, Ramadhani Singano ‘Messi’, Farid Mussa na Hassan
Dilunga.