![]() |
Rodgers wa pili kulia akiwaita waamuzi 'horrendous' katika mkutano wa waandishi wa habari baada ya mchezo |
Meneja
wa klabu ya Liverpool Brendan Rodgers
huenda akakumbana na adhabu ya chama cha soka nchini England FA baada ya
kuwabwatukia waamuzi wa mchezo waliopokea kichapo cha mabao 2-1 kutoka
kwa Manchester City cha mabao 2-1 mchezo uliochezwa uwanja wa Etihad.
Rodgers
alilalamikia kiwango cha uwamuzi cha waamuzi Lee Mason na wasaidizi
wake John
Brooks na Derek Eaton na kukiita kwa lugha ya kingereza kama
'horrendous' ( cha kutisha na kisichofaa) ambapo FA imeahidi kufuatilia
maoni ya Rogers yenye maamuzi ya upendelea kwa umakini nan uzito
unaostahili huku bosi huyo wa Liverpool akionekana kushangazwa na
maamuzi ya uteuzi wa kocha kutoka Greater Manchester kuteuliwa
kuchezesha pambano hilo katika dimba la Etihad.
Rodgers
alikasirishwa na maamuzi ya 'offside' iliyofanywa na mchezaji wake
Raheem Sterling
pamoja na timu yake kunyimwa penati kufuatia mshambuliaji wake Luis
Suarez kuvutwa na kudondoka chini katika dakika za kuelekea kumalizika
kwa mchezo huo

Brendan Rodgers akionyesha hasira kwa waamuzi katika mchezo wa kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa Manchester City

Jordan Henderson (kulia) akipambana na mwamuzi Lee Mason (wapili kulia) ambaye alikuwa akimtuliza kwa kumwambia 'quiet'

Sura
ya radi: Bosi wa Liverpool alihoji kwanini mwamuzi kutoka 'Greater
Manchester' aliteuliwa na kwamba Liverpool ilikosa msaada kabisa kutoka
kwa mwamuzi Mason
Kumbukumbu za mwamuzi Lee Mason zinaonyesha kuwa alisha chezesha michezo mingine ya City kama ifuatavyo
21/04/2013
Tottenham 3-1 Man City - Premier League 11/03/2012
Swansea 1-0 Man City - Premier League 11/01/2012
Man City 0-1 Liverpool - Capital One Cup 26/12/2011
West Brom 0-0 Man City - Premier League
Tottenham 3-1 Man City - Premier League 11/03/2012
Swansea 1-0 Man City - Premier League 11/01/2012
Man City 0-1 Liverpool - Capital One Cup 26/12/2011
West Brom 0-0 Man City - Premier League
Meneja wa Liverpool amekaririwa akisema
'Nilikuwa
najivunia vijana wangu ambao walikuwa wako vizuri, nadhani tulikosa
msaada kabisa kutoka kwa waamuzi wa mchezo. Sijawahi kugombana na lakini
leo walikuwa wanatisha katika kiwango chao cha uchezeshaji wao.
Hatukuwa na kitu kilichokuwa sawa kwa upande wetu kabisa .
'I
thought that the linesman on the offside one - they weren't even on the
same cut of grass, and if you're working at this level, you have to get
that right. It's not even a difficult one, that.
'These
are the things we work on and talk about, we are asking a young player
to try and break their line. It was a perfect timed run and he's given
offside when he's through one-on-one on goal.
'There
was another incident in the second half when Luis Suarez didn't get a
free kick on the edge of the penalty box when Joleon Lescott comes right
through him.
'That
was waved play on. It is arguable that there was a penalty at the end.
Luis Suarez can't jump because he's tugging at his shirtwww.fulu viwanja blogspot.com