Social Icons

Pages

Sunday, 17 November 2013

LEO NI ZAMU YA CMEROON AMA TUNISIA



Baada ya Ivory Coast na Nigeria kufuzu kucheza Kombe la Dunia jana, leo ni zamu ya Ghana na Cameroon.

Cameroon inaivaa Tunisia ikiwa nyumbani huku Misri ikiwa nyumbani dhidi ya Ghana huku ikiwa na kumbukumbu ya kuchapwa mabao 6-1. Mechi hiyo itachezwa keshokutwa Jumanne.

Mechi nyingine ya ambazo zitachezwa Jumanne ni Burkina Faso dhidi ya Algeria ambao watakuwa nyumbani.

Wakiwa ugenini, Algeria walichapwa mabao 3-2 lakini wakalalamika kwamba penalti moja ilikuwa ni ya fitna kabisa.
 
FULU VIWANJA