
.HIGUAIN:NILIKOSA UAMINIFU KATIKA KLABU YA REAL MADRID.MCHEZAJI WA ZAMANI WA KLABU YA REAL MADRID ALIYOKO KWA SASA KATAKA KLABU YA NAPOLI YA INCHINI UFARANSA GONZALI HIGUAIN AMESEMA ALIKOSA KUAMINIKA WAKATI ALIPOKUWA MADRID NA NDIO MAANA NIKAAMUA N KUHAMA KLABU HIYO NA KUAMIA KLABU YA NAPOLI KATIKA MSIMU AWA DIRISHA LA USAJILI.PIA SITAJUTIA MAAMUZI YANGU YAKUONDOKA MADRID NA KUHAMIA NAPOLI".MCHEZAJI HUYU MWENYE URAIA WA ARGETINA ALIWEZA KUITUMIKIA KLABU HII YA MADRID KUANZIA MWAKA 2007 MPAKA 2013 NA KUIFUNGIA MAGOLI 100 KWENYE LIGI YA ICHINI SPAIN ;LA LIGA.LAKINI MWISHO WA MSIMU MCHEZJI MFARANSA KARIM BENZEMA AKAW KATIKA KIKOSI CHA KWANZA NA MIMI KUANZIA BENCHI LAKINI MWISHO WA SIKU NILIHAMU KUHAMA MADRID "I constantly felt like I had to prove myself again after already showing what I was capable of a number of times before. Everything goes much better when you have the complete faith of your team-mates, coach and directors," Higuain told Cope.
"It was not an easy decision to leave Madrid. I enjoyed many years at the highest level at Madrid, but I needed a new challenge and a change of scenery.
"I am feeling very well at Napoli now. It's a major challenge to try and help Napoli back the heights of the past."