Social Icons

Pages

Saturday, 26 October 2013

U 20 YA WANAWAKE TANZANIA YAWALAMBISHA VIJANA WA U 20 YAWANAWAKE YA MSUMBIJI GOLI KUMI


 
HAWA NDIO U 20 YA WANAWAKE TANZANIA AMBAO WAMEWAFUNGA MSUMBIJI GOLI 10
timu ya wanawake chini ya umri wa miaka ishirini wameweza kuwafunga timu ya wanawake ya chini afrika ya kusini kwa mabao kumi kwa sifuri ndani ya uwanja wa taifa jijin dar es salam. Baada ya mchezo wa leo, timu hizo zitarudiana Novemba 9 nchini Msumbiji na mshindi atavuka raundi ya pili ya mashindano hayo na atapambana na mshindi kati ya Botswana au Afrika Kusini na akivuka hapo anakwenda fainali moja kwa moja. 0
Share

 
FULU VIWANJA