Pamoja na Suarez kuanza mazoezi, mshambuliaji mwingine, Neymar, naye ameanza mazoezi na kikosi hicho, hali ambayo inaongeza matumaini kwa benchi la ufundi la Barcelona.
Aidha, kiungo Mcameroon, Alex Song ambaye ilielezwa anaweza kwenda England, naye ameonekana anajidai akiwa na wenzake wa Barcelona, mazoezini.