CHANZO CHA HABARI PICHA NA BINZUBERY.
 |
| Mshambuliaji
wa Coastal Union ya Tanga, Atupele Green akiatoka mabeki wa Seeb Club
ya Oman katika mchezo wa kirafiki jioni ya leo Uwanja wa Seeb, Muscat,
Oman, Timu hizo zilitoka 0-0. |
 |
Mshambuliaji Mganda wa Coastal, Yayo Lutimba aigombea mpira na beki wa Seeb
|
 |
Beki wa Coastal akikabiliana na mshambuliaji wa Seeb
|
 |
Mshambuliaji wa Coastal, Haruna Moshi 'Boban' akiwageuza wachezaji wa Seeb baada ya kurejea nyuma kusaidia ulinzi
|
 |
Kiungo wa Seeb akItaabika na mpira pembeni ya Yayo Lutimba
|
 |
Kiungo Mkenya wa Coastal akimtoka kiungo wa Seeb
|
 |
Yayo Lutimba wa Coastal akimilik mpira mbele ya mabeki wa Seeb
|
 |
Boban akifanya yake katikati ya wachezaji wa Seeb
|
 |
Mshambuliaji Mtanzania, Elias Maguri aliye kwenye majaribio Seeb akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Coastal
|
 |
Magwiji;
Wachezaji wa zamani wa Tanzania waliohamia Oman baada ya kuchukuliwa
nna klabu za huko walikocheza hadi kustaafu kwao, kutoka kulia ni Ahmad
Amasha, Humud Esry, TalibHilal, Yussuf Abeid na Thuwein Ali walikuwepo
leo Uwanja Seeb kuishuhudia Coastal
|
 |
Kikosi cha Seeb, Elias Maguri wa kwanza kulia walioinama
|
 |
Kikosi cha Coastal leo
|